Mahakama ya jiji la Paris nchini ufaransa yagomea madai ya Agathe kanziga
Mahakama ya jiji la Paris nchini Ufaransa ilitupilia mbali madai ya Agathe Kanziga kupinga kuonyeshwa kwa filamu itakayodhihirisha ukweli wa mauaji ya kimbari ya 1994 dhidi ya watutsi nchini Rwanda. Agathe Kanziga aliyekuwa mke wa rais wa zamani wa Rwanda...